Kua mdhamini

Kila mmoja ambae kapakia Psiphon ataona kutokea kwa ukurasa popote itakapo unganisha pamoja na programu. fursa ya ufadhili inapatikana kwa wiki kwa ukurasa huu.

Utaona bana kwenye chaguo lako, ambayo itakua ni chaguo kwenye kurasa ya tovuti yako.Hii ni fursa ya kipekee kufikia watazamaji wengi kitaalamu-kuwajua watu kutumia Psiphon kwa kuongeza safu kwa usalama kwenye mtandao wa kivinjari.

Kwa habari zaidi, tuma barua pepe kwa mdhamini@psiphon.ca